Call Us:+255 768 396957
CHIMBUKO LA JINA NDULI
Mnamo mwaka 2020
Parokia ilizaliwa kutoka Parokia ya Kihesa
Mnamo mwaka 2020
Paroko wa kwanza Pd. Paptist Kiwale na Paroko Msaidizi Pd. Julius Masenya
Parokia ina vigango vifuatavyo, Nduli, Kiwanja cha Ndege, Igingilanyi, Itagutwa, Kising’a, Kinywang’anga, Mgongo, Kisowele, Kipululu, Ngongwa
.
Pd. Alfred Msanzi, Sr. Elizabeth Mahega, Sr. Gloria Sanga, Sr. Mbeju, Sr. Margarita Chando