Jiunge na Misheni Yetu Kuboresha Wakati Ujao kwa Wote
Parokia ilianzishwa mwaka 1932 na Mmisionari wa Bikira Maria Konsolata Padre Emilio Ogge na huyo ndiye Paroko wa kwanza wa eneo hili.
Na tangu Novemba 2005, Parokia imekabidhiwa kwa Mapadre wa Jimbo. Padre Benjamini Mfaume Paroko, na Padre Joy Ashock. Baadae wamefuata Padre Emily Kindole, Padre Protas Chelula, Padre Laetus Mbegasi, Padre Justin Msosi, Padre Stanslaus Mhumbila, Padre Eugen Ngatunga na Padre Marco Kihwelo.