Kwaresima ni Kipindi cha kusali, kufunga na kutoa Sadaka.

Pichani ni Mzee akipatiwa kilo 60 zaMahindi pamoja na Kilo 5 za maharage.
Kwaresima ni Kipindi cha kusali, kufunga na kutoa Sadaka.

Tunamshukuru Mkristo mmoja ambaye katika kutekeleza dhana ya utoaji, amewasaidia wazee wasiojiweza wa kigango cha Ihimbo wapatao arobaini (40).

Pichani ni Mzee akipatiwa kilo 60 zaMahindi pamoja na Kilo 5 za maharage.

Tumefaulu kununua gunia 17@70,000/= za mahindi kwa jumla ya kiasi cha fedha ya kitanzania Tsh. 1,190,000/= na debe 10@40,000/= za maharage kwa jumla ya kiasi cha fedha ya kitanzania Tsh. 400,000/= na Gharama za usafiri Tsh.110,000/=. Jumla kuu ni 1,700,000/=

Unaweza kutizama video fupi hapa chini.

Wazee hao 40, kila mmoja amepata Kilo 60 za mahindi na Kilo 5 za Maharage.

Mungu awajalie wazee hao afya njema na azidi kumbariki Mkristo huyu msamaria mwema.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *