Kigango cha “Roho Mtakatifu” Kitayawa

Historia ya Kigango
Kigango hiki kilianzishwa rasmi tarehe 18.03.2000 siku ya jumatano ya majivu. Mwanzilishi wa kigango hiki ni Padre Romano Cheschia.
Makatekista
- Jina: Julius Luvingo, Mawasiliano: 0656 013 728
- Jina: Casian Mpyamagulu, Mawasiliano: 0677 909 539
- Jina: Casian Mpyamagulu, Mawasiliano: 0677 909 539
Viongozi wa Halmashauri ya Walei
- Jina: Andreasi Mbimbi
Nafasi: Mwenyekiti
Mawasiliano:
- Jina: Joyce Lusinde
Nafasi: Katibu
Mawasiliano: 0713 011 584
- Jina: Valentino Tenywa
Nafasi: Makamu Katibu
Mawasiliano:
- Jina: Leunora Kihongosi
Nafasi: Makamu Mwenyekiti
Mawuasiliano: 0673 938 561
- Jina: Mikaeli Mmeta
Nafasi: Mhasibu
Mawasiliano: 0653 409 364
Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo
- Jumuiya ya Mtakatifu Tereria
Mwenyekiti: Damiani Mpyamagulu,
Makamu Mwenyekiti: Inyasia Mlonga,
Katibu: Victoria Mofuga,
Makamu Katibu: Emiliana Mkonda,
Mhasibu: Elia Mpyamagulu.
- Jumuiya ya Mtakatifu Petro.
Mwenyekiti: Jelmana Mlula,
Makamu Mwenyekiti: Rejina Luvanga,
Katibu: Severini Balama,
Makamu Katibu: Imelda Luvingo,
Mhasibu: Bertha Myovela.
- Jumuiya ya Mtakatifu Yosefu.
Mwenyekiti: Geama Mbimbi,
Makamu Mwenyekiti: Raymond Mlula,
Katibu: Maria Mhapa,
Makamu Katibu: Kristofa Mbimbi,
Mhasibu: Yusta Mkalanga.
- Jumuiya ya Mtakatifu Paulo
Mwenyekiti: Yustina Kawaganise,
Makamu Mwenyekiti: Rita Luvanga,
Katibu: Tobias Kawaganise,
Makamu Katibu: Fedi Mgabe,
Mhasibu: Kristina Kilangi.
- Jumuiya ya Mtakatifu Augustino.
Mwenyekiti: Geama Kawwaganise,
Makamu Mwenyekiti: Avita Kilave,
Katibu: Benedicta Chahe,
Makamu Katibu: Vedasto Kiwele,
- Jumuiya ya Mtakatifu Maria Consolota.
Mwenyekiti: Henry Mbimbi,
Makamu Mwenyekiti: Danieli Mlula,
Katibu: Felisita Mwanilwa
Makamu Katibu: Kasiani Kihanza
Mhasibu: Valentino Tenywa.