Call Us:+255 768 396957
Tunamshukuru Mkristo mmoja ambaye katika kutekeleza dhana ya utoaji, amewasaidia wazee wasiojiweza wa kigango cha Ihimbo wapatao arobaini (40).
Tumefaulu kununua gunia 17@70,000/= za mahindi kwa jumla ya kiasi cha fedha ya kitanzania Tsh. 1,190,000/= na debe 10@40,000/= za maharage kwa jumla ya