Zaidi ya watoto 600 wapata Kipaimara Parokia ya Nyabula
Zaidi ya watoto 600 kutoka katika vigango saba (22) vya Parokia ya Nyabula Jimbo Katoliki la Iringa wamepatiwa kipaimara toka kanda tatu: IHIMBO, MAGULILWA NA NYABULA. Kanda ya Ihimbo ina vigango nane (8) na waimarishwa mia moja sitini na moja (161) idadi ya maketekista kumi na tatu (13), idadi ya JNNK thelathini nan ne (34)…