Kwaresima ni Kipindi cha kusali, kufunga na kutoa Sadaka.
Kwaresima ni Kipindi cha kusali, kufunga na kutoa Sadaka. Tunamshukuru Mkristo mmoja ambaye katika kutekeleza dhana ya utoaji, amewasaidia wazee wasiojiweza wa kigango cha Ihimbo wapatao arobaini (40). Tumefaulu kununua gunia 17@70,000/= za mahindi kwa jumla ya kiasi cha fedha ya kitanzania Tsh. 1,190,000/= na debe 10@40,000/= za maharage kwa jumla ya kiasi cha fedha…