|

Jimbo Katoliki la Iringa lapata mapadre wapya wanne (4) .

Daraja Takatifu la Upadrisho limetolewa na Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo  Katoliki la Iringa ambako ibada  imefanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu la Moyo Mt. Wa Yesu Parokia ya Kihesa, siku ya Alhamisi tarehe 26, Agosti 2021. Adimisho hilo lilitanguliwa na ibada ya masifu jioni ambapo mashemasi hao waliweka viapo siku…

Zaidi ya watoto 600 wapata Kipaimara Parokia ya Nyabula

Zaidi ya watoto 600 kutoka katika vigango saba (22) vya Parokia ya Nyabula Jimbo Katoliki la Iringa wamepatiwa kipaimara toka kanda tatu: IHIMBO, MAGULILWA NA NYABULA. Kanda ya Ihimbo ina vigango nane (8) na waimarishwa mia moja sitini na moja (161) idadi ya maketekista kumi na tatu (13), idadi ya JNNK thelathini nan ne (34)…